Contact Us

Mbinu Zangu kwenye Android App Development

Mobile App | August 20, 2020

Weekend hii nimetumia muda wangu ongeza jambo kidogo kwenye mobile app ya SaJo, no big deal it is a note taking app. So nilipenda onyesha kwamba note hii imetengenezwa na nani, simple tuu.

#kotlin #computer #programming #software

This content was originally published here.